THE SOWERS GROUP

Monday, December 3, 2012

Mshindi wa Maisha Plus 2012, BERENIKI KIMIRO

Mshindi wa Maisha Plus 2012, BERENIKI KIMIRO ameanza kwa Kumshukuru Mungu kwa ushindi, asema ye si kitu kwa wenzake, hilo ni zali tu.. Amemshukuru baba yake mzazi kwa kumshauri kusali.. Amewashukuru pia wapenzi watazamaji kwa kumpiga kura, ameahidi kuendeleza kile alichokianza kijijini na kuitendea haki nchi yake.. Amemshukuru babu, Brother Masoud na Crew nzima ya Maisha Plus.. Amemshukuru pia mwanae Kelvin (6yrs) kwa kuvumilia kipindi chote bila kuongea na mama.. Amesema Mungu amejibu maombi yake kwani ukipiga goti, maombi yako yatajibiwa.. Tutawapa taarifa kupitia ukurasa huu kuhusu hali ya Bereniki ambaye kwa sasa anaonekana amezimia....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...