THE SOWERS GROUP

Monday, December 31, 2012

Fiancial Aid

OfficeCalifornia community colleges are organized around several key ideas. One of them is to remove financial barriers to higher education by making tuition highly affordable. We're proud to be part of this success story.
And, we understand that the expense of education at a community college may still be beyond the means of some students. There are many forms of assistance available to students, including grants (funds the student does not need to repay) and loans (funds that the student is obligated to repay). In some cases, the student may qualify for a work-study program. Many of the loan opportunities are supported by Federal or State government programs. Some grants are funded by local scholarships, in some cases tied to a particular study discipline. StudentsIn planning your higher education, it is smart to consider all forms of assistance available to you. All of the student financial aid programs are administered by the individual colleges. You should contact staff in these offices to learn about the programs available to you and their eligibility requirements.

Kifaa cha Tablet kutoka Africa

Simu aina ya smartphone na kompyuta za tablet zinazosemekana kuwa vifaa vya mawasiliano vya kwanza kutengenezwa na kampuni ya Afrika zimezinduliwa. Vifaa hivyo, ambavyo vimebuniwa na mjasiriamali wa Congo,vinatengenezwa nchini China. Kampuni yake ya VMK, vifaa vyake vinaendeshwa kwa teknolojia ya Android ya Googles. Simu hizo za smartphone zitauzwa kwa bei ya rejareja ya dola $170, sawa na pauni za Uingereza (£105) na kompyuta itauzwa kwa dola $300 sawa na pauni (£185). "Ni Waafrika wenyewe, ndiyo watakaofahamu mahitaji ya Afrika," amesema Bwana Mankou katika mkutano wa Tech4Africa mjini Johannesburg. "Apple ni kampuni kubwa Marekani, Samsung ni barani Asia na tunataka VMK kuwa kampuni kubwa barani Afrika." Blogu ya teknolojia ya Smartplanet imeripoti kuwa kompyuta za VMK zinatoa huduma ya uunganishaji wa wi-fi na uwezo wa gigabytes 4 ambazo zimehifadhiwa ndani yake. Jina lake, Way-C, lina maana ya "mwanga wa nyota" katika lugha ya Kilingala. Simu hiyo ya smartphone nyuma na mbele ina kamera na skrini ya ukubwa wa inchi 3.5 sawa na sentimita 8.9. Verone Mankou
Kuna mipango ya kuuza simu hizi katika nchi kumi za Afrika Magharibi pamoja na Ubelhiji, Ufaransa na India. Bwana Mankou amesema anatarajia kuzindua uuzaji wa kompyuta za bei nafuu zaidi kwa wanafunzi mwaka ujao. VMK imesisitiza kuwa wakati bidhaa zake zinatengenezwa China kwa sababu za unafuu wa gharama, ubunifu na uhandisi wa simu hizo ni wa Kiafrika. Hii ni kutokana na baadhi ya watu au kampuni za biashara kupinga uwezo wa kampuni hiyo katika teknolojia ya simu na kompyuta. Kampuni ya VMK imesema kinyume na bidhaa nyingine za awali za simu na komputa zilizosemekana kuwa za Afrika, bidhaa za VMK hazifanani na bidhaa zozote za aina hiyo katika nchi nyingine.

Thursday, December 13, 2012

Gazeti la MWANANCHI nalo LILISHEHENI!!

NOTE: Habari hii imeshaondolewa katika tovuti ya Gazeti la Mwananchi (nafikiri ni baada ya kutambua kuwa haina ukweli wowote). Kwa bahati nzuri/mbaya, tayari iko kwenye rekodi zangu!

Monday, December 3, 2012

Alichokiandika Sophia-Kessy-on facebook -papa-kuingia-twitter-dec-3-2012

Mshindi wa Maisha Plus 2012, BERENIKI KIMIRO

Mshindi wa Maisha Plus 2012, BERENIKI KIMIRO ameanza kwa Kumshukuru Mungu kwa ushindi, asema ye si kitu kwa wenzake, hilo ni zali tu.. Amemshukuru baba yake mzazi kwa kumshauri kusali.. Amewashukuru pia wapenzi watazamaji kwa kumpiga kura, ameahidi kuendeleza kile alichokianza kijijini na kuitendea haki nchi yake.. Amemshukuru babu, Brother Masoud na Crew nzima ya Maisha Plus.. Amemshukuru pia mwanae Kelvin (6yrs) kwa kuvumilia kipindi chote bila kuongea na mama.. Amesema Mungu amejibu maombi yake kwani ukipiga goti, maombi yako yatajibiwa.. Tutawapa taarifa kupitia ukurasa huu kuhusu hali ya Bereniki ambaye kwa sasa anaonekana amezimia....

Saturday, December 1, 2012

THANK GOD

is another day God has made​​, thank god because there are those who want to see it but have failed. God is good to those who fear him.

Thursday, October 11, 2012

Tweets Updated

Tuesday, September 11, 2012

TATOO MPYA YA RIHANNA

Msanii anayefanya vizuri sana katika game la muziki pande za state American.Namzungumzia msichana anayeitwa kwa jina la Rihanna anayeondoka miondoko ya RNB siku za hivi karibuni msanii huyu alionekana amepiga tatoos mpya ambayo amepiga katikati ya kifua.

Friday, June 29, 2012

HALI YA DR ULIMBOKA YAONEANA KUENDELEA VIZURI


WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA KIGENI LA MISAADA WATEKWA NCHINI KENYA

Wafanyakazi wanne wa shirika la kigeni la misaada na mkenya mmoja wametekwa kutoka katika kituo cha wakimbizi kinachoitwa Dadaab kilichpo karibu na mipaka ya somalia. wakati wa sakata hilo dereva aliuawa na mpaka sasa wafanyakazi hao wanne hawajajulika ni wa kutoka taifa gani. hii sio mara ya kwanza kutokea mwaka uliopita matukio kama haya yalijitokeza na kusababisha magrupu mengi ya wafanyakazi hao kuondoka katika kituo hicho kinachosemekana kuwa ni kituo kikubwa cha wakimbizi duniani its more about music industry and social issues in and out of bongo land

Wednesday, June 27, 2012

HIVI ULISIKIA ILE STORI YA WACHEZAJI WA TWIGA STARS KUSHIRIKI MAPENZI YA JINSIA MOJA? KIPYA NDIO HIKI…PA

.

Vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania likiwemo gazeti la Mwananchi vimenukuliwa vikiripoti stori kwamba Kocha wa timu ya taifa ya Twiga Stars aliejiuzulu Boniface Mkwasa alisema moja kati ya mambo yaliyomkera Twiga Stars ni wachezaji kadhaa kushiriki katika mapenzi ya jinsia moja, wao kwa wao kwenye timu.

Exclusive on millardayo.com Nahodha wa timu hiyo Sophia Mwasikili amesema “nimefurahi kulizungumzia hilo swala kwa sababu limekua likizungumzwa kwenye magazeti mengi bila uthibitisho, kocha hakuzungumza kwamba kuna vitendo kama hivyo alisema vilikuepo kipindi cha nyumba lakini kwa sasa havipo, nimekua Twiga Stars toka 2006 mpaka sasa sijaviona hivyo vitendo labda mwalimu ndio aliona kwa mchezaji lakini hakuna yeyote ambae amewahi kuripoti kwangu”

“Wazazi wetu hawajapenda hili swala, tumedhalilishwa na hata kama kuna mchezaji alifukuzwa kutokana na hilo basi itakua ni siri kati yake na mwalimu hatujawahi kuambiwa, kama Mkwasa atapatikana ni vizuri amtaje huyo mtu il iwatanzania wajue lakini kiukweli hakuna vitendo kama hivyo Twiga Stars” – Sophia

Exclusive on millardayo.com leo Kocha Boniface Mkwasa amesema “sijafanya kikao chochote na waandishi wa habari kuzungumzia hilo swala na sijazungumza lolote kuhusu ishu ya usagaji nashangaa hawa waandishi wameipata wapi hii habari na wanazidi kujenga chuki, ndio maana nimekaa kimya wiki nzima sijaongea chochote, na sio kwamba nimetoka Twiga Stars ndio nikasema hayo, sijawahi kushuhudia hivyo vitu hata siku moja na kama vilikuwepo labda ni zamani sana kipindi bado hata sijaingia”

Kuhusu kuvipeleka Mahakamani vyombo vya habari vilivyoandika hizo habari, Mkwasa amesema “mimi sitafanya chochote namwachia Mwenyenzi Mungu tu kwa sababu kila mtu ana uhuru, ila waandishi wazitumie vizuri kalamu zao kwa sababu watasababisha wazazi wasiruhusu mabinti zao kuja kucheza kwenye timu ya taifa”
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...