THE SOWERS GROUP

Tuesday, April 16, 2013

KILL YASELF IF U AIN'T MY GODDAMN FAN





   

yow...kafa manzese mazishi sinza nazama chumvini uvinza,
na utamu umezidi mpaka umepitiliza,
bado nachanga naganga mwanga nifiche giza,
nichane anga kwa pipa so balozi nipe viza,
baada ya malcolm sasa nahitaji binti asiwe kicheche awe na akili zaidi ya condoleeza rice,
asimuige wema sepetu ashike mema ya kwetu ili shigongo asimgeuze bongo fever nice,


lets go back to the class now,
heshima pesa ndevu ni uchafu hata zitouch down,
aisee wewe imekaa vibaya kali p,
martial art rap wananiita mbishi karate kid,
baba malik si hawa fake rap cats unaowasikia wanarap kwenye funny beats,
nikki mbishi ni kisiki cha mpingo,
sina hiyana natoa peace kwa zilla mpaka cliff mitindo,
i stay clever more check my metaphors,
ya'll niggas is whack what the f*** u better for,
nifunike hata kwa leather coat,
uone jinsi nakuchana nishasikia kuwa una leather soft

#KILL YASELF IF U AIN'T MY GODDAMN FAN,U AIN'T MY GODDAMN FAN.....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...